Simba SC mikononi mwa UD Songo

Simba akifuzu hapa dhidi ya Platnum anaingia kwenye hatua ya makundi

Sasa wewe Uto hiyo taarifa ya kucheza na hao mabwana zenu ud songo sijui umedanganywa na Antonio nugaz
Soma tena
 
Ud songo atakutana na simba kivip apo
 
Nyie kima wa Utopolo nani aliyewaroga?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Usututetemeshe simba inatoboa sawasawa hata Zimbabwe tulihitaji tukifungwa nasi tupate goli ama tushinde yote tunamshukuru Mungu ila tunatoboa war in dar.

Hamna jipya nyie utopolo fc
 
Sidhani kama Simba watakubali kuachia yale madola kizembe kama mwaka jana..kule kambini morali iko juu,wanasemwa sana na uongozi! Kuna ahadi wamepewa ila haitangazwi..hata hivyo tayari mipango iko vizuri kwa asilimia 65 kilichobaki ni ndani ya uwanja..
 
Hivi ni shilingi ngapi vile kwa kila timu inayoingia hatua ya makundi ?
 
Simba akifuzu hapa dhidi ya Platnum anaingia kwenye hatua ya makundi

Sasa wewe Uto hiyo taarifa ya kucheza na hao mabwana zenu ud songo sijui umedanganywa na Antonio nugaz
Anamaanisha kama simba atatolewa hapa basi anaenda shirikisho na huko shirikisho ndio alipo UD SONGO
 
Vipi spray za kwenye vyumba zishafika?
 
Ha
Unajua kuwa Simba hii kwa uchache itaingia Nusu Fainali Champions League?Subiri wakati utakujibu vizuri.Tukutane hapa jumatano saa 1 kamili
Ahaaa

Simba hii uchochoro nusu fainal.
Hapana bana, tuwe realistics hata makundi haufiki
Inarudi shirikisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…