Simba SC mikononi mwa UD Songo

Sasa njoo ujieleze kwa Ukamilifu, Wewe ni Utopolo enheee??Hakunaga wanaSimba waogaoga kama wewe
 
Tulitamani sana mfike hatua hii, tumemis sana ujio wa club kubwa barani Afrika.
 
Hahahah teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh UTOPOLOOOOOOOOH wanaumia mamamanbmamamee
 
Kacheze nao ww hao ud songo
 

Utopolo kama utopolo!
Mbona umeutelekeza uzi wako...?
 
Sawa. Lakin nakuambia Plutnum wanacheza kama Nkana na kwa kifupi Wazambia na Wazimbabwe ni walewale. Simba iliyoitoa Nkana si hii ya sasa. Hii huwez kufurukuta.

Ulikuwa sahihi kabisa kuwa Platnum wanacheza kama Nkana, maana nkana walipasuka 3, na hao platnum wanaocheza kama nkana wamepasuka 4! Una la kuongezea?
 
Ni kweli kabisa Simba hii mechi haitoboi,so sad nadhan baada ya hapa,simba watajitathimini vizuri

Tuna hali ngumu kiasi wanasimba wenzangu,tunapambana Mkude acheze maana ndani ya timu kuna mgogoro mkubwa sana timu imepasuka vipande vipande.

Simba nguvu 0

Ni kichaa tu anaemini mikia yatashinda kesho

Nyie utopolo, subirini tuwaingize tena angalao mpande ndege, halafu muwe na shukrani!
Mlinunua majezi yenu ya Platnum myavae sasa yamechina, teh teh!
Mawazo yenu na maombi yenu ya kuiombea simba mabaya, yamegeuka kuwa aibu kwenu!
Yaani utopolo leo mmeumbuka sana, najua mmekasika lakini haisadii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…