Simba SC mjibuni Eddo Kumwembe

[emoji1][emoji1][emoji1]Haji manara analo jibu
 
Nataka mumpatie jibu mapema...Kama akili zenu hamjashikiwa na Manara.View attachment 568533

Nauliza tu kwani ngao ya jamii inachezwa kati ya bingwa wa ligi na finalist wa FA au kati ya bingwa wa ligi na bingwa wa FA, mwaka jana Yanga ilikuwa bingwa wa FA na Ligi je ngao ya jamii alicheza Azam ambae alikuwa namba mbili ya ligi na FA pia.

So swali ni kuwa sheria zinasemaje ikiwa Bingwa ni mmoja. kama sheria inasema Ngao lazima ichezwe kati ya bingwa wa ligi na mshindi wa pili wa Ligi basi simba wanaweza kutumia kigezo hicho kuingia uwanjani, kama inatakiwa ichezwe na mshindi wa pili wa FA, basi hapo simba itabidi watoe maelezo wakiingiza timu uwanjani.

regards
 

Mkuu simba anasema yeye ni Bingwa wa ligi vile vile yeye ni bingwa wa FA kwa kanuni za soka letu Bingwa wa ligi anatakiwa acheze ngao ya jamii na bingwa wa FA. Sasa kama simba yeye ndiye bingwa wa ligi na FA ilibidi acheze ngao ya jamii na Mbao FC kwa sababu ndio washind wa pili wa FA na inatakiwa hawa mbao watuwakilishe kwenye CONFIDERATION CUP. Na simba wakacheze ligi ya mabingwa Afrika.

Ikishindikana hapo inabidi simba wakili kuwa yanga ndo mabingwa wa VPL na wao ni FA cup ana kulikuwa hakuna haja ya kususia zile medali za second runner kwenye VPL.

Haji Manara aliwaweza sana mashabiki wa mbumbumbu FC kwenye hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…