Simba SC mjibuni Eddo Kumwembe

Mo Dewji yupo katika hatua za kutinga mnadani kesho wakati jengo la Yanga litakaponadiwa
 
Julio ataumiaje na kama anaumia basi ana laana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani hukumuona kwenye video akiwa anaandama barabarani ameshika bango limeandikwa "Turudishieni mpira wetu"? alikuwa anawawakilisha mikia wenzake. na kuna mikia wenzako humu walikuwa wamechange avatar zao na kuweka picha ya Mayay.

wewe vipi hukufanya kama wenzako? au uligoma kushikiwa akili zako this time around?
 
Julio ataumiaje na kama anaumia basi ana laana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani hukumuona kwenye video akiwa anaandama barabarani ameshika bango limeandikwa "Turudishieni mpira wetu"? alikuwa anawawakilisha mikia wenzake. na kuna mikia wenzako humu walikuwa wamechange avatar zao na kuweka picha ya Mayay.

wewe vipi hukufanya kama wenzako? au uligoma kushikiwa akili zako this time around?
 
Huyu sasa nae kaongea nini sasa? Jengo la Yanga linauzwa kwa mnada wakati wowote na dalali Msolopa investment company limited namba za simu 0717 436066 ndio tujadili sio huu upuuzi
Ndio maana Rage aliwaita MaMBUMBUMBU.

Mabingwa watetezi na wa kihistoria wa mara 27 wa LigiKuu Tanzania Bara (walio na kandarasi ya miaka 5 na sportpesa yenye thamani ya Bilioni 5 Tsh) wanashindwaje kulipa Milioni 360 za kitanzania?

Au umemuazimisha Manara akili zako?
 
Mbumbumbu fc wana matatizo kweli. Hiyo move ya kuuza jengo la Yanga ni mpango haramu wa kutafuta ushindi nje ya uwanja.

Japo sina ushahidi wa moja kwa moja, ni maoni yangu kuwa hiyo move imetengenezwa kuwatoa viongozi, wanachama, mashabiki na hata wachezaji katika mipango ya kujiandaa na mechi ya Ngao ili wahamishie mawazo na nguvu zao katika kuokoa jengo. Hebu jiulize hayo madai ni ya tangu lini? Kwa nini tarehe 19/08/2017?

Viongozi kama hawana hela waweke namba ya kutuma pesa sisi wenye Yanga yetu tujipige mifukoni. Mashabiki 36,000 tu tunaweza kufuta hilo deni kwa kutoa TZS 10,000 tu. Hilo deni kitu gani bhana?
 
Hulali unamuwaza mmeo simba tu!
 
Hulali unamuwaza mmeo simba tu!

Mtani... Nikiona unalog kwa JF najua moja kwa moja kuwa Manara amekurudishia akili zako. Maana sote twajua kuwa huwezi kulog JF ukiwa mtupu kumkichwa.

welcome back!
 
Mashabiki 36,000 tu tunaweza kufuta hilo deni kwa kutoa TZS 10,000 tu. Hilo deni kitu gani bhana?
Mkuu hebu rudia tena hii hesabu halafu uangalie na deni mnalodaiwa. Usianze kuchanganyikiwa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…