Simba SC mjibuni Eddo Kumwembe

Mkuu hebu rudia tena hii hesabu halafu uangalie na deni mnalodaiwa. Usianze kuchanganyikiwa mapema
36,000 x 10,000 = 360,000,000 Quod Erat Demostrandum (QED)

Hata ukienda Ulaya wakakufanyie hiyo hesabu, watapata jibu hilo hilo. Bila shaka wewe ni Ngwini, aren't you?

Una swali jingine Mkuu?
 
Bangi sio nzuri kwa AFYA yako..... Sasa Simba aingize timu kwa kigezo cha ushindi wa pili kwenye ligi wakati mshindi wa kwanza hawamtambui!!??? Bangi mbaya sana
 
Mkuu hebu rudia tena hii hesabu halafu uangalie na deni mnalodaiwa. Usianze kuchanganyikiwa mapema
36,000*10,000= 360,000,000 deni ni milioni 300 na na chenji inabaki... Ungekaa kimya ungeficha ujinga
 
Nawaona watani wanavyoshindwa kujibu hoja sababu ya manara[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Nakwenda_Zimbabwe
 
36,000*10,000= 360,000,000 deni ni milioni 300 na na chenji inabaki... Ungekaa kimya ungeficha ujinga
Wewe ndiyo mjinga, Ngwini Mkubwa! Huna data, kaa kimya tuachie Yanga yetu wenyewe.

Sasa chenji ikibaki kuna shida gani?
 
Subrn ilo jengo lenu lipigwe mnada ndo mtaacha zarau

Sent using Jamii Forums mobile app
Dharau iko wapi mkuu... Kama Simba walikataa zawadi ya mshindi wa pili wa Ligi na kusema yeye ndiye bingwa... Inakuaje leo akubali kupeleka team uwanjani kucheza na team ambayo haikuingia hata final ya FA?.. Mjibu tu jamaa, hajakosea.

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Edo: "...nadhani..."
Kwa kauli hiyo inaonesha hana uhakika na hilo alisemalo.Hakuna jibu atakalopewa.

The Great Gatsby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…