Simba SC Mkitaka Kuwa Mabingwa Msimu Huu Mfukuzeni Pablo, Mpeni timu Matola

Sioni mchango wowote wa Matola kama kocha msaidizi wa Simba SC, anatakiwa afukuzwe haraka sana sambamba na kocha mkuu.
Matola ndio sababu kuu ya nyinyi kupoteza Ubingwa.
 
Kajitoa siku naona kelele za GSM zimepungua, zimebaki za miamala,nawakumbusha kwa hali mnayoenda nayo ya mbeleko andaeni fungu na kwenye shirikisho CAF.
kushneyyy babu jiiii ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

 
si tulikubaliana gsm ana pesa chafu kuliko mudi imekuwaje sasa

View attachment 2111451
Tumeona mmetuonyesha nyinyi mna hela za kusajili wachezaji wakubwa, mnawalipa mishahara mizuri huku mkiandaa miamala ila mambo yenu yaende vizuri nje ya uwanja. Sio siri mmefanya uwekezaji mkubwa upande wa miamala hilo nawapongeza na tunaona fungu la miamala linavyo fanya kazi.
 
Inawezekana hata na Mkwasa alimsagia kunguni yeye

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
ukibebwa bebeka sio jsm wenu analilia kwenye media anasusa haya susaaaaa
na
 
Madoctor wa utopolo wakiwa kazini.

Hizi elimu zenu mbona zibawafanya kuwa wambea na machawa sana?

Imagine mwanaume mzima eti unashabikia yanga?!!Kisa ina nguo za njan!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ