Simba SC mmejipigia Yanga SC vya kutosha, sasa tupigie Azam FC

Ukimuita Okwi muhenga unakula 7
demigod


Emmanuel OKWI (Misimu ambayo amecheza akiwa VPL):

2010/11 - Bingwa Yanga
2011/12 - Bingwa Simba
2012/13 - Bingwa Yanga
2013/14 - Bingwa Azam
2014/15 - Bingwa yanga

Misimu 5 akiwa anacheza VPL
1. - Amenyanyua kwapa mara 1 tu akiwa na Simba SC.
2. - Ameshuhudia wababe wa VPL wakinyanyua NDOO ya VPL takribani mara 3 ndani ya misimu 5

Nimeona nisikutajie majina ya wachezaji wa Yanga wenye mafanikio makubwa kisoka zaidi ya Okwi, Maana utachanganyikiwa bure.

Endeleeni kumuimba huyo Jamaa yenu - "Good Player inspire themselves, Great player inspire others"
 
Unapaswa utambue. Nini lengo la klabu yako?

Kumfunga Yanga au Kuwa Bingwa wa VPL? Unayap yap kumfunga Yanga mechi tatu ikiwa misimu yote hiyo Yanga kabeba ndoo ya VPL.


Inadhihirisha kuwa simba ni bora kuliko yanga, ila yanga ni bora kuliko timu nyingine isipokuwa simba tuu
 
Wenzako hawapendi hizi rekodi. Wao wanapenda rekodi moja tu ya Bao 5. na bahati mbaya wengi wamezaliwa 1993 hivyo hawajui kuwa 68 Simba alilazwa bao 5 pale shamba la bibi.
Kuna nyingine pia ya mwaka 1987, kipindi cha kwa kwanza walikula 7-0 wakatia mpira kwapani wakakimbia nao, mbumbumbu fc wanatabu hawa,
 
Kuna nyingine pia ya mwaka 1987, kipindi cha kwa kwanza walikula 7-0 wakatia mpira kwapani wakakimbia nao, mbumbumbu fc wanatabu hawa,
KMC iliyoishinda akili Yanga imepigwa 2 jwa 1 na Ngorongoro Herous
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…