demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Ukimuita Okwi muhenga unakula 7
demigod
Emmanuel OKWI (Misimu ambayo amecheza akiwa VPL):
2010/11 - Bingwa Yanga
2011/12 - Bingwa Simba
2012/13 - Bingwa Yanga
2013/14 - Bingwa Azam
2014/15 - Bingwa yanga
Misimu 5 akiwa anacheza VPL
1. - Amenyanyua kwapa mara 1 tu akiwa na Simba SC.
2. - Ameshuhudia wababe wa VPL wakinyanyua NDOO ya VPL takribani mara 3 ndani ya misimu 5
Nimeona nisikutajie majina ya wachezaji wa Yanga wenye mafanikio makubwa kisoka zaidi ya Okwi, Maana utachanganyikiwa bure.
Endeleeni kumuimba huyo Jamaa yenu - "Good Player inspire themselves, Great player inspire others"