demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Moyo wangu umejaa huzuni na sononeko la hali ya juu baaada ya kuona watani zangu wanakosa mtu sahihi wa kukamilisha madili kwa manufaa ya klabu.
Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights" (haki za kifuani) kwa mdhamini tena kwa mda wa miaka 5.
Mnajinyima fursa ya kupata madili ya juu zaidi katika siku za usoni.
Yaani hata kama baada ya miaka 3 akitokea potential sponsor anayetaka kuweka mpunga mrefu kwenye jezi inabidi asubiri mpaka mkataba mrefu uishe.
Kwani mliona wenzenu wajinga wallipo mpa SportPesa miaka 3?
Yes. Wamefanya hivyo kwa lengo la kutoa mwanya wa investors wengine wenye dau la juu wataojitokeza wakati wowoote hivi kaaribuni.
Wenzenu wana akili sana. Hawajakodisha shamba kwa mda mrefu.
Dah. Mmeniangusha sana watani.