Spy1983
Senior Member
- May 24, 2018
- 132
- 160
Ujue umeandika kitu kizuri sema inaitaji mtu mwenye elimu ya Finance and investment kubwa kuweza kuelewa kuwa Kuuza au kupangisha kifua kwa miaka 5 wakati thamani za hizi Club zinapanda kwa haraka sana ni ujinga… wewe jiulize kama last year walikuwa wanapokea 3 billion alafu baada muda mfupi thamani imepata mpaka 4 to 5b basi jua baada ya miaka miwili thamani inaweza panda kuanzia 6 to 8B bcz thamani ya mpira wa bongo unaongezeka kwa haraka sana Kama Simba na Yanga wananunua wachezaji bora kutoka Zambia na Congo na Ivory coast tujue soon thamani za hizi club zinaweza kufika 6 to 8B per year ndani ya miaka 2 au 3 ijayo… Simba hapa mmepigwa na Muhindi… 5B kwa mwaka kwa sasa zuri lakini sio kwa miaka 5 angalau miaka 3 hapo sawa…