Umeona hii hundi ipo kwenye jeziBilioni 5.2 kwa mwaka zinawauma sana utopolo.
1. Team viewer na Man united ni miaka mitano sponsorship.Moyo wangu umejaa huzuni na sononeko la hali ya juu baaada ya kuona watani zangu wanakosa mtu sahihi wa kukamilisha madili kwa manufaa ya klabu.
Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights" (haki za kifuani) kwa mdhamini tena kwa mda wa miaka 5.
Mnajinyima fursa ya kupata madili ya juu zaidi katika siku za usoni.
Yaani hata kama baada ya miaka 3 akitokea potential sponsor anayetaka kuweka mpunga mrefu kwenye jezi inabidi asubiri mpaka mkataba mrefu uishe.
Kwani mliona wenzenu wajinga wallipo mpa SportPesa miaka 3?
Yes. Wamefanya hivyo kwa lengo la kutoa mwanya wa investors wengine wenye dau la juu wataojitokeza wakati wowoote hivi kaaribuni.
Wenzenu wana akili sana. Hawajakodisha shamba kwa mda mrefu.
Dah. Mmeniangusha sana watani.
Wewe umekuwaje umekuwa kama hao wengine?We unaiona wapi B26? Au bado maneno ya Rage yanaishiView attachment 2311289
Mkataba wa Simba ni 12.5 b kwa miaka 5 kinachoendelea ni ileile michezo wa 20b kwenye makaratasi.
Soma hii halafu uje utuambie kama moyo wako ulikuwa na huzuni tangu mwaka 2017, maana mkataba ulioisha wa Yanga na SportPesa ulikuwa wa miaka mitano
View attachment 2311188
Pole sana! Jamaa anakaba hadi penati, hakuna cha CEO wala nani, kila kitu yeye. Senzo akaona isiwe taabu!
View attachment 2311210
Hapo anajionyesha kabisa yeye ni mwanachama wa yanga maana tuliambiwa huko wenye akili ni wawiliSoma hii halafu uje utuambie kama moyo wako ulikuwa na huzuni tangu mwaka 2017, maana mkataba ulioisha wa Yanga na SportPesa ulikuwa wa miaka mitano
View attachment 2311188
MkuuMan u na teamviewer ni miaka mi5, wale chevloret sijui miaka 7 arsenal na dreamcast, arsenal na Emirates, intermillan na pirelli, madrid Emirates bado na Siemens, chelsea na yokohama na wenhine weengi.
[emoji28][emoji28][emoji28] wajinga haoBilioni 5.2 kwa mwaka zinawauma sana utopolo.
Itakuwa shamba walichanganya, maharage na bangi humo humo😂Mkuu
Mleta Mada Kala Maharage Ya Wapi
Hoja ingelikuwa nzuri kama ungetoa mifano ya vilabu angalau viwili vinavyoonesha havijawahi kuwa na mikataba ya miaka mitano. Hapo TIngeelewa!Moyo wangu umejaa huzuni na sononeko la hali ya juu baaada ya kuona watani zangu wanakosa mtu sahihi wa kukamilisha madili kwa manufaa ya klabu.
Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights" (haki za kifuani) kwa mdhamini tena kwa mda wa miaka 5.
Mnajinyima fursa ya kupata madili ya juu zaidi katika siku za usoni.
Yaani hata kama baada ya miaka 3 akitokea potential sponsor anayetaka kuweka mpunga mrefu kwenye jezi inabidi asubiri mpaka mkataba mrefu uishe.
Kwani mliona wenzenu wajinga wallipo mpa SportPesa miaka 3?
Yes. Wamefanya hivyo kwa lengo la kutoa mwanya wa investors wengine wenye dau la juu wataojitokeza wakati wowoote hivi kaaribuni.
Wenzenu wana akili sana. Hawajakodisha shamba kwa mda mrefu.
Dah. Mmeniangusha sana watani.
Hata maandiko yanasema mpumbavu atendewe kwa kadri ya upumbavu wake, usiogope.Mjinga lazima ajibiwe kijinga hakuna jinsi nyingine
Kuna zile process za binadamu kujiaminisha uongo zipo proved scientificallyMkataba wa Simba ni 12.5 b kwa miaka 5 kinachoendelea ni ileile michezo wa 20b kwenye makaratasi.