Simba SC Mmepigwa Parefu. Kifua Hakiuzwi Kwa Miaka 5

Ujue umeandika kitu kizuri sema inaitaji mtu mwenye elimu ya Finance and investment kubwa kuweza kuelewa kuwa Kuuza au kupangisha kifua kwa miaka 5 wakati thamani za hizi Club zinapanda kwa haraka sana ni ujinga… wewe jiulize kama last year walikuwa wanapokea 3 billion alafu baada muda mfupi thamani imepata mpaka 4 to 5b basi jua baada ya miaka miwili thamani inaweza panda kuanzia 6 to 8B bcz thamani ya mpira wa bongo unaongezeka kwa haraka sana Kama Simba na Yanga wananunua wachezaji bora kutoka Zambia na Congo na Ivory coast tujue soon thamani za hizi club zinaweza kufika 6 to 8B per year ndani ya miaka 2 au 3 ijayo… Simba hapa mmepigwa na Muhindi… 5B kwa mwaka kwa sasa zuri lakini sio kwa miaka 5 angalau miaka 3 hapo sawa…
 
Samahani blaza utopolo hv arsenal na fly emirates au man city na etihad air ways wana mda gani pale kifuani???ukijibu nitag[emoji12]

Byuti byuti
Wako dunia tofauti na yetu sisi.

Ndio maana hata mauzo ya jezi huku kwetu yana upenyumbi.
 
Bilion 26.1. Karibu.
 
Kila uchao unazidi kuthibitisha umajununi wako.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unataka nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…