MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Sasa Habib Kiyombo ana tofauti gani ya Uwezo mdogo kama alionao Yusuf Mhilu? Nani Kawarogeni mpaka leo hii Simba SC ina 'Scouting Team' ya hovyo hivi?
Hivi kwanini Viongozi wa Simba SC mnapenda kutufanya Sisi Mashabiki wa Simba SC kuwa ni Madunduna ( Wapumbavu ) sana na labda mnadhani kuwa Wengine hatujawahi Kucheza Mpira au hatuhujui pia?
Mchezaji Habib Kiyombo ana Hadhi ya Kuichezea Simba SC ambayo inataka kurejesha Heshima na Makali yake na Msimu wa CAFCL ifike Nusu Fainali?
Tuwashaurini vipi ili mtuelewe nyie?