MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Umeandika ujinga sana kwa kweli.... Mara mill 40 mara GSM, unajisahaulisha tu ndani ya siku 7 ni Simba walioweza kujusanya milioni 100 huku yanga wakikusanya milioni 44 tu.Ww mbumbu hujui usajiri ni pesa na kanjibai ni kama amesusia timu
Mkiambiwa mchangie bil 2 ya usajiri mtaweza wkt mlichanga mil 40 kwa miezi 6 ya ujenzi wa uwanja
Ndo pesa inaruhusu kusajiri wachezaji wa mil 100 hakuna namna
TUSITEGEMEE MSIMU UJAO MADAI YA GSM KUNUNUA MECHI SASA MAANA TAYARI MMESHATEPETA MPAKA MUDA HUU kuku ww mambumbu ya rage mtajua hamjui.😬😬😬😬😬😬😬😁😁😁😁😁😁😬😬😬😬😬😬😬😬
Halafu yanga walipojutoa mkashindwa kukusanya mia zngn ndani ya siku 7 au siyo?Umeandika ujinga sana kwa kweli.... Mara mill 40 mara GSM, unajisahaulisha tu ndani ya siku 7 ni Simba walioweza kujusanya milioni 100 huku yanga wakikusanya milioni 44 tu.
Mbumbu ww tahira jibu hukoUmeandika ujinga sana kwa kweli.... Mara mill 40 mara GSM, unajisahaulisha tu ndani ya siku 7 ni Simba walioweza kujusanya milioni 100 huku yanga wakikusanya milioni 44 tu.
Unazidi kuandika ujingaHalafu yanga walipojutoa mkashindwa kukusanya mia zngn ndani ya siku 7 au siyo?
Niambie toka yanga wamejitoa mlikusanya ngapi mpk zoezi mmelifunga. Nataka zile za baada ya yanga kujitoa si mliendelea.
Umesema ukweli mtupu tu Ndugu.Simba walitaka kutuondoa kwenye issue ya Uanga.
Kiufupi wameharibu,
Wajifunze kuacha wenzao wafanye jambo lao, wakimaliza na wao wafanye
Mnasajiri mdomoni halafu mje kusema GSM ananunuwa mechi.Umejaa wenge sana.
Kyombo kwa record yake ya ufungaji msimu uliopita anaonekana ni mmojawapo wa strikers wazuri waliokuwepo wa ndani ukimuacha G. Mpole.
Ni mzuri wa kufunga akiwa ndani ya box, nje ya box, anafunga kwa free kicks, na moja nimeona amefunga kwa kisigino, zaidi alishawafunga hadi utopolo.
Zaidi ya hapo, bado Simba SC hawajamaliza, wanaenda Nigeria kuchukua kifaa toka Rivers Utd, mshambuliaji wao tegemeo ambaye pia ndie captain wao, kilichobaki ni kutuma mkataba na pesa, maongezi yote tayari.
Next season magoli Simba hayawezi kuwa tatizo, ni kina Chama wafanye kazi yao tu, kuwawalisha wafungaji.
Phiri + Kayombo + Okwa = Simba wanajua wanachofanya.
Kumbe amesajiliwa sababu alishawafunga yanga?Umejaa wenge sana.

We ndo mbulula wa kwanza kabisa. Yaani mnatapeliwa na Bakhressa mnajisifia?Umeandika ujinga sana kwa kweli.... Mara mill 40 mara GSM, unajisahaulisha tu ndani ya siku 7 ni Simba walioweza kujusanya milioni 100 huku yanga wakikusanya milioni 44 tu.
pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.Umejaa wenge sana.
Kyombo kwa record yake ya ufungaji msimu uliopita anaonekana ni mmojawapo wa strikers wazuri waliokuwepo wa ndani ukimuacha G. Mpole.
Ni mzuri wa kufunga akiwa ndani ya box, nje ya box, anafunga kwa free kicks, na moja nimeona amefunga kwa kisigino, zaidi alishawafunga hadi utopolo.
Zaidi ya hapo, bado Simba SC hawajamaliza, wanaenda Nigeria kuchukua kifaa toka Rivers Utd, mshambuliaji wao tegemeo ambaye pia ndie captain wao, kilichobaki ni kutuma mkataba na pesa, maongezi yote tayari.
Next season magoli Simba hayawezi kuwa tatizo, ni kina Chama wafanye kazi yao tu, kuwawalisha wafungaji.
Phiri + Kayombo + Okwa = Simba wanajua wanachofanya.
Tulieni, naona mmeshaanza kutetemeka na reject zenu za Newcastle.Mnasajiri mdomoni halafu mje kusema GSM ananunuwa mechi.
Hiyo wazungu wanaita added advantage!.Kumbe amesajiliwa sababu alishawafunga yanga?