Uwanja upiUnAmkumbuka Hamza?
Wanaua mazalia ya mbuAliyemwagia mafuta ya taa kwenye madimbwi ya jangwani ni nani?
Vyura wanakosa hewa huku.
Tulipowafunga utoKwa mkapa
Tulia wewe haya mambo hayakuhusu ndo maana hucheziMnaenda kucheza na Professional players ambao they can make a difference popote na muda wowote.
Mambo ya kwa mkapa hatoki mtu, sio agenda tena kama ilivyokuwa kwa RAJA de Casablanca.
Nimeongea na Percy jioni hii ambaye ni rafiki yangu wa karibu sana tangu nipo nae SA, ameniambia kwamba wao wamekuja kushinda hivyo SSC icheze mpira na wao wacheze Mpira mwenye uwezo na quality ataondoka na Mpira.
Kesho ndio kesho, Ahly analitaka kombe sio kwa sababu ya fedha, bali kwa sababu ya Historia.
Naiona ile picha ya Hamza wa Raja Casablanca pale Lupaso ikihamia kwa Ashraf na Percy.
All the best SSC
Simba ina uwezo wa kuwafunga Ahly na ilishafanya hivyo,kikubwa kama ulivyoshauri wachezaji wa Simba waongeze umakini kwasababu Al ahly kosa moja nyavu zinacheka.
Ongezea point Hii ni knock out stage....ukiguswa unasogea pembeniMnaenda kucheza na Professional players ambao they can make a difference popote na muda wowote.
Mambo ya kwa mkapa hatoki mtu, sio agenda tena kama ilivyokuwa kwa RAJA de Casablanca.
Nimeongea na Percy jioni hii ambaye ni rafiki yangu wa karibu sana tangu nipo nae SA, ameniambia kwamba wao wamekuja kushinda hivyo SSC icheze mpira na wao wacheze Mpira mwenye uwezo na quality ataondoka na Mpira.
Kesho ndio kesho, Ahly analitaka kombe sio kwa sababu ya fedha, bali kwa sababu ya Historia.
Naiona ile picha ya Hamza wa Raja Casablanca pale Lupaso ikihamia kwa Ashraf na Percy.
All the best SSC
Ni kwenye kukusanya points.Simba ina uwezo wa kuwafunga Ahly na ilishafanya hivyo,kikubwa kama ulivyoshauri wachezaji wa Simba waongeze umakini kwasababu Al ahly kosa moja nyavu zinacheka.