Simba SC mnayakumbuka ya Raja Casablanca?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Mnaenda kucheza na Professional players ambao they can make a difference popote na muda wowote.

Mambo ya kwa mkapa hatoki mtu, sio agenda tena kama ilivyokuwa kwa RAJA de Casablanca.

Nimeongea na Percy jioni hii ambaye ni rafiki yangu wa karibu sana tangu nipo nae SA, ameniambia kwamba wao wamekuja kushinda hivyo SSC icheze mpira na wao wacheze Mpira mwenye uwezo na quality ataondoka na Mpira.

Kesho ndio kesho, Ahly analitaka kombe sio kwa sababu ya fedha, bali kwa sababu ya Historia.

Naiona ile picha ya Hamza wa Raja Casablanca pale Lupaso ikihamia kwa Ashraf na Percy.

All the best SSC
 
Simba ina uwezo wa kuwafunga Ahly na ilishafanya hivyo,kikubwa kama ulivyoshauri wachezaji wa Simba waongeze umakini kwasababu Al ahly kosa moja nyavu zinacheka.
 
Tulia wewe haya mambo hayakuhusu ndo maana huchezi
 
Simba ina uwezo wa kuwafunga Ahly na ilishafanya hivyo,kikubwa kama ulivyoshauri wachezaji wa Simba waongeze umakini kwasababu Al ahly kosa moja nyavu zinacheka.

Msema kweli ni mpenzi wa Miungu. siuoni huo uwezo. Kikosi kilichoifunga Alhly sio hichi. Angalia kwa makini kama kuna straika wa kufunga kesho. Hivi goli la pale Azam complex alifunga nani
 
Mnaenda kucheza na Professional players ambao they can make a difference popote na muda wowote.

Mambo ya kwa mkapa hatoki mtu, sio agenda tena kama ilivyokuwa kwa RAJA de Casablanca.

Nimeongea na Percy jioni hii ambaye ni rafiki yangu wa karibu sana tangu nipo nae SA, ameniambia kwamba wao wamekuja kushinda hivyo SSC icheze mpira na wao wacheze Mpira mwenye uwezo na quality ataondoka na Mpira.

Kesho ndio kesho, Ahly analitaka kombe sio kwa sababu ya fedha, bali kwa sababu ya Historia.

Naiona ile picha ya Hamza wa Raja Casablanca pale Lupaso ikihamia kwa Ashraf na Percy.

All the best SSC
Ongezea point Hii ni knock out stage....ukiguswa unasogea pembeni

Na wasituletee aibu rais wa CAF na FIFA watakuwepo
 
Simba ina uwezo wa kuwafunga Ahly na ilishafanya hivyo,kikubwa kama ulivyoshauri wachezaji wa Simba waongeze umakini kwasababu Al ahly kosa moja nyavu zinacheka.
Ni kwenye kukusanya points.
Siyo kwenye knockout stage(s). Miujiza tu ndo itokee lakini kwa quality ya kikosi SIMBA ni 20 times underdog kwa Ahly.
 
Back
Top Bottom