GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Umesahau Mwamedi alipotekwa alivalishwa kanga laini ya Mombasa?Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.
Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.
Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.
Yaani manara anataka atajwe yeye kwenye nyimbo ya Simba kama nani? Ona sasa kilichotokea kama angekua anatajwa yeye kwenye right za Simba ingekuejeKwamba Diamond alikatazwa kumtaja Manara. mjinga haoni kama hilo katazo ni sahihi.
Mo aseme ni faida kiasi gani anapata kwa matangazo ya bidhaa zake kwenye jezi ya SimbaPress yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.
Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.
Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.
Acha umbeya mtoto wa kiumeAnayoyasema Hajis Manara club isipotolea ufafanuzi basi tutajua ni ukweli mtupu 100%
Kubalance story inabidi tusikilize upande wa pili
Acha mvua inyeshe tujue panapovuja
Hata na hivyo mtu akitoneshwa kwenye mshono na kitu kizito chenye ncha kali hali huwa mbaya
Sawa.Acha umbeya mtoto wa kiume
Ivi wewe kama unaakili unaweza amini maneno ya haji? MO atoke tumuachie tema manaraHapana Mo na Barbra inabidi wawajibike, sijapendezwa na uonevu na upuuzi wa wazi kabisa
Huyo Barbra simuamini kabisa, kuna siku tutakuja kuyakumbuka maneno ya Manara
Na we mwanaume gani kudiscuss watoto wa kike bana!Sawa.
Kuna sehemu nimemdiscuss mtu hapo?Na we mwanaume gani kudiscuss watoto wa kike bana!
Kumbe unadiscuss nn sasaKuna sehemu nimemdiscuss mtu hapo?