Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.

Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.

Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.
Ushabiki na mapenzi usikuondoe akili na fikra chanya,mkuu kumbuka to be a man it's all about heart and brain.
 
Screenshot_20210804-135701.png
Screenshot_20210804-135701.png
 
Ametumwa kuharibu focus na concentration ya usajili wetu makini. Ignore him completely. Tuko kwenye usajili na maandalizi ya msimu mpya.

Kaongea story za zamaaniiii za nini sasa, awape haohao mabingwa wa kihistoria ndo wanapendaga hizo mambo.
Mikia mnamkata nani tena ili msajili 🤣,banda nafasi ya chikwede mkopo,mkateni kagere basi muone moto wake 🤣
 
Totally unprofessional from Manara. Mimi sikuwahi kuwa mfuasi wake tokea akiwa Simba.

Ukiachilia tu sifa yake kubwa ya uhamasishaji Manara hafai kupewa nafasi ya maana sehemu yoyote maana ni mropokaji/msema hovyo.

Hata kama ukiachana na mwajiri wako kwa ubaya kwa mtu anaejitambua huwezi kuenda kumchafua sehemu hasa kwenye media.

Hii itakufanya kutoaminika hata na huyo anaetaka kukuajiri maana atajua tu kuwa siku mkishindwana nae utaenda kumchafua tu. Manara na wanaomtumia wote akili zao finyu sana. Hawana upeo mzuri wa kufikiri.
 
Kama hata anachosema leo Manara kitaendelea kuonekana kuwa ni unafiki au anataka kuharibia tu team au watu fulani ndani ya Simba, basi kuna kila dalili kuwa ndani ya Simba kuna malaika watu ambao hawakosei ,kuna kila dlili ndani ya simba kuna watu hawapaswi kusemwa vibaya hata kama wanaowasema vibaya ni watu wanaojua mabaya yao.

Kitendo cha Simba kunyamazia hili ni ishara ya kwanza kuwa kuna ukweli na ndio maana wanaogopa kujibu, kama ni uongo Simba waje wajibu ila kama ni ukweli uachwe kama ulivyo.

Simba siyo club inayoishi maisha ya kimtaadni, ni club ambayo inapaswa kujisafisha kila inapohisi imechafuliwa, ila mtu mchafu anaetaka uchafu wake, hatokubali kujisafisha.
 
Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.

Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.

Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.
Haji kaongea ukweli mtupu maana tulikuwa tunaongea humu kwamba uyu mo anaifanya simba kuwa ya familia yake mnabisha, wewe utasemaje upati faida kwenye timu miaka yote 4?

Hivi kuna mfanyabiashara anakubali hasara tu kila siku? Ni njia mojawapo ya kuwanyonya watu iyo anaanza kujiwekea ulinzi ili aendelee kufaidika watu wasihoji
 
Kama hata anachosema leo Manara kitaendelea kuonekana kuwa ni unafiki au anataka kuharibia tu team au watu fulani ndani ya Simba, basi kuna kila dalili kuwa ndani ya Simba kuna malaika watu ambao hawakosei ,kuna kila dlili ndani ya simba kuna watu hawapaswi kusemwa vibaya hata kama wanaowasema vibaya ni watu wanaojua mabaya yao...
Naomba ninukuu masawali yafuatayo ambayo ameyauliza Penison hapo juu

Lengo hasa la press ya Haji Manara lilikuwa ni lipi?

Kuichafua Simba sc Tanzania?

Kumsema vibaya Mo?

Kumchafua Babra, kuonekana yeye ndio alionewa?

Kutuaminisha Simba sc Tanzania kuna mambo ya ovyo ovyo yanayofanyika?
 
Back
Top Bottom