Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Binafsi Ligi ya Bongo ninaona ni ligi dhaifu, kwa mfano mpira anaoupiga Raja Casablanca , ukija kwenye ligi yao anashika nafasi ya Tano. Nini Tafsiri yake?
Hapa kwetu Simba iwe mbovu vipi, atashika nafasi ya pili, Yanga iwe mbovu vipi atashika ya pili. Nafasi ya kwanza na pili wanabadilishana Simba na Yanga, huu ni udhaifu wa Ligi.
Mimi ni Shabiki wa Simba, lakini niipongeze Yanga kwa sababu ninaamini Yanga akiwa serious kidogo, anaweza kuchukua hili kombe for the first time in history.
Kwa Miaka mitano mfululizo SSC anaishia Robo Fainali ima Shirikisho au Champions na jamii ikaaminishwa kuwa hayo ni mafanikio, kwamba kwa kua Yanga alikuwa anaishia kwenye preliminary stage, hivyo SSC kufika robo tukaamini ndio ukomo, kumbe tulikuwa gizani.
Yanga anakwenda kucheza Fainali,hii iwe ni chachu kwa SSC kuwa kumbe inawezekana na hata hiyo champion, inawezekana kwenda hadi Fainali.
Siku hizi timu nyingi za Africa zimeshuka viwango, naamini huu ni mwaka wa Tanzania, inawezekana.
Simba SC acheni majungu tuisapoti Yanga kuliko kuombeana dua mbaya wakati hili ni suala la Utaifa zaidi, mafanikio ya Yanga, tutumie kuona tumekosea wapi.
Je, kuna haja ya kuvunja kama ya Usajili ya Simba kwa poor scouting?
Je, hii kamati ilikuwa chini ya Barbara ndio imesajili wazee na wachezaji low quality?
Africa kuna wachezaji wote unaowataka, ni mpunga wako tu na kuwa serious katika scouting. Hapa Yanga amefanikiwa kwa asilimia 45% . Scouting ya Simba ni 23% tu.
Huwezi kutatua tatizo la kuishia Robo Fainali miaka 5 mfululizo kwa kutumia watu wale wale wanaoishia robo Fainali, ni absurd.
Kamati ya Usajili na Scouting Simba haina tija na imefeli kwa miaka 5 mfululizo, ni mambo ya Inshallah na matarumbeta mitaani ambayo never worked.
Football ni investment as well as proper scouting.
Huwa namshangaaga sana Mo, yaani una expect timu icheze Nusu Fainali Klabu Bingwa Africa, kwa investment gani au kwa scouting gani uliyofanya?
Huwezi kupanda mahindi utegemee maziwa na asali, hilo ni tatizo la afya ya akili.
Mo unapoexpect nusu Fainali jua kwamba you are not making any sense na una act too immature sana, that is stupid. You should be realistic and try to act your age.
Kwa huu utani wa Simba na Yanga mimi naona ufe, sio utani bali ni chuki na unafiki, hawa watu sio watani bali ni maaduni, and hawapendani.
Simba anamaanisha na hataki mafanikio ya Yanga, kadhalika Yanga hivyo hivyo hapendi mafanikio ya Simba, huu sio utani bali ni chuki na hawa watu sio watani ifahamike hivyo.
Dima Yanga, Viva Tanzania
Our Country, Our time, Our pride
in Health and in Sickness we Stand Forth