Simba SC msichukie mafanikio ya Yanga, nashauri iwe ni chachu kwenu

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Binafsi Ligi ya Bongo ninaona ni ligi dhaifu, kwa mfano mpira anaoupiga Raja Casablanca , ukija kwenye ligi yao anashika nafasi ya Tano. Nini Tafsiri yake?

Hapa kwetu Simba iwe mbovu vipi, atashika nafasi ya pili, Yanga iwe mbovu vipi atashika ya pili. Nafasi ya kwanza na pili wanabadilishana Simba na Yanga, huu ni udhaifu wa Ligi.

Mimi ni Shabiki wa Simba, lakini niipongeze Yanga kwa sababu ninaamini Yanga akiwa serious kidogo, anaweza kuchukua hili kombe for the first time in history.

Kwa Miaka mitano mfululizo SSC anaishia Robo Fainali ima Shirikisho au Champions na jamii ikaaminishwa kuwa hayo ni mafanikio, kwamba kwa kua Yanga alikuwa anaishia kwenye preliminary stage, hivyo SSC kufika robo tukaamini ndio ukomo, kumbe tulikuwa gizani.

Yanga anakwenda kucheza Fainali,hii iwe ni chachu kwa SSC kuwa kumbe inawezekana na hata hiyo champion, inawezekana kwenda hadi Fainali.

Siku hizi timu nyingi za Africa zimeshuka viwango, naamini huu ni mwaka wa Tanzania, inawezekana.

Simba SC acheni majungu tuisapoti Yanga kuliko kuombeana dua mbaya wakati hili ni suala la Utaifa zaidi, mafanikio ya Yanga, tutumie kuona tumekosea wapi.

Je, kuna haja ya kuvunja kama ya Usajili ya Simba kwa poor scouting?

Je, hii kamati ilikuwa chini ya Barbara ndio imesajili wazee na wachezaji low quality?

Africa kuna wachezaji wote unaowataka, ni mpunga wako tu na kuwa serious katika scouting. Hapa Yanga amefanikiwa kwa asilimia 45% . Scouting ya Simba ni 23% tu.

Huwezi kutatua tatizo la kuishia Robo Fainali miaka 5 mfululizo kwa kutumia watu wale wale wanaoishia robo Fainali, ni absurd.

Kamati ya Usajili na Scouting Simba haina tija na imefeli kwa miaka 5 mfululizo, ni mambo ya Inshallah na matarumbeta mitaani ambayo never worked.

Football ni investment as well as proper scouting.

Huwa namshangaaga sana Mo, yaani una expect timu icheze Nusu Fainali Klabu Bingwa Africa, kwa investment gani au kwa scouting gani uliyofanya?

Huwezi kupanda mahindi utegemee maziwa na asali, hilo ni tatizo la afya ya akili.

Mo unapoexpect nusu Fainali jua kwamba you are not making any sense na una act too immature sana, that is stupid. You should be realistic and try to act your age.

Kwa huu utani wa Simba na Yanga mimi naona ufe, sio utani bali ni chuki na unafiki, hawa watu sio watani bali ni maaduni, and hawapendani.

Simba anamaanisha na hataki mafanikio ya Yanga, kadhalika Yanga hivyo hivyo hapendi mafanikio ya Simba, huu sio utani bali ni chuki na hawa watu sio watani ifahamike hivyo.

Dima Yanga, Viva Tanzania
Our Country, Our time, Our pride
in Health and in Sickness we Stand Forth
 
Binafsi Ligi ya Bongo ninaona ni ligi dhaifu, kwa mfano mpira anaoupiga Raja Casablanca , ukija kwenye ligi yao anashika nafasi ya Tano. Nini Tafsiri yake?

Hapa kwetu Simba iwe mbovu vipi, atashika nafasi ya pili, Yanga iwe mbovu vipi atashika ya pili. Nafasi ya kwanza na Pili wanabadilishana Simba na Yanga..... huu ni udhaifu wa Ligi.

Mimi ni Shabiki wa Simba, lakini niipongeze Yanga kwa sababu ninaamini Yanga akiwa serious kidogo.... anaweza kuchukua hili kombe for the first time in history.

Kwa Miaka mitano mfululizo SSC anaishia Robo Fainali ima Shirikisho au Champions na jamii ikaaminishwa kuwa hayo ni mafanikio... kwamba kwa kua Yanga alikuwa anaishia kwenye preliminary stage , hivyo SSC kufika robo tukaamini ndio ukomo, kumbe tulikuwa gizani.

Yanga anakwenda kucheza Fainali,hii iwe ni chachu kwa SSC kuwa kumbe inawezekana na hata hiyo champion .... inawezekana kwenda hadi Fainali.

Siku hizi timu nyingi za Africa zimeshuka viwango , naamini huu ni mwaka wa TZ, inawezekana.

SSC acheni majungu tuisapoti Yanga kuliko kuombeana dua mbaya wakati hili ni suala la Utaifa zaidi, mafanikio ya Yanga, tutumie kuona tumekosea wapi.

Je kuna haja ya kuvunja kama ya Usajili ya Simba kwa poor scouting?

Je Hii kamati ilikuwa chini ya Barbara ndio imesajili wazee na wachezaji low quality?

Africa kuna wachezaji wote unaowataka.... ni mpunga wako tu na kuwa serious katika scouting..... hapa Yanga amefanikiwa kwa asilimia 45% . Scouting ya Simba ni 23% tu .

Huwezi kutatua tatizo la kuishia robo Fainali miaka 5 mfululizo kwa kutumia watu wale wale wanaoishia robo Fainali ....... ni absurd .

Kamati ya Usajili na Scouting Simba haina Tija na imefeli kwa miaka 5 mfululizo, ni mambo ya Inshallah inshallah na matarumbeta mitaani ambayo never worked.

Football ni investment as well as proper scouting.

Huwa namshangaaga sana Mo, yaani una expect timu icheze Nusu Fainali Klabu Bingwa Africa ..... kwa investment gani au kwa scouting gani uliyofanya?

Huwezi kupanda mahindi utegemee maziwa na asali..... hilo ni tatizo la afya ya akili.

Mo unapoexpect nusu Fainali jua kwamba you are not making any sense na una act too immature sana..... that is stupid ...... you should be realistic and try to act your age.

Kwa huu utani wa Simba na Yanga mimi naona ufe, sio utani bali ni chuki na unafiki..... hawa watu sio watani bali ni maaduni, and hawapendani.....

Simba anamaanisha .... na hataki mafanikio ya Yanga , kadhalika Yanga ivo ivo hapendi mafanikio ya Simba , huu sio utani Bali ni chuki na hawa watu sio watani ifahamike ivo .

DimaYanga, Viva Tanzania.
Our Country, Our time

Our pride , in Health and in sickness we stand forth
Ungeweza kutoa maoni yako bila kujifanya wewe ni shabiki wa Simba wakati siyo. Ila maneno yako ya para mbili za mwisho uko sahihi sana, Simba na Yanga si watani bali hizi timu zinachukiana na kuoneana wivu kweli kweli.

Binafsi naamini Yanga kutokana na asili ya mashabiki wake walikuwa wanachukia sana mafanikio ya Simba kwa miaka ya hivi karibuni (kauli zako zinathibitisha hilo) na mko vyedi sana katika propaganda za kuifanya Simba ijione haijafanya lolote si tu mwaka huu lakini katika historia yake yooote.

Bahati mbaya sana Simba kwa kutotilia maanani kampeni hii kali na kudharau, wamejikuta wamechelewa na kuelemewa na hii propaganda mpaka sasa haya yanayosemwa yanaonekana kama kweli.
 
Nachojua wewe wewe ni chura Kama wenzio pia hayo mafanikio ya yanga hayana uchachu wowote kwa Simba giants of Africa
 
Ni ukweli mtupu ! kuna watu watasema ni kombe la losers!
 
Ungeweza kutoa maoni yako bila kujifanya wewe ni shabiki wa Simba wakati siyo. Ila maneno yako ya para mbili za mwisho uko sahihi sana, Simba na Yanga si watani bali hizi timu zinachukiana na kuoneana wivu kweli kweli.

Binafsi naamini Yanga kutokana na asili ya mashabiki wake walikuwa wanachukia sana mafanikio ya Simba kwa miaka ya hivi karibuni (kauli zako zinathibitisha hilo) na mko vyedi sana katika propaganda za kuifanya Simba ijione haijafanya lolote si tu mwaka huu lakini katika historia yake yooote.

Bahati mbaya sana Simba kwa kutotilia maanani kampeni hii kali na kudharau, wamejikuta wamechelewa na kuelemewa na hii propaganda mpaka sasa haya yanayosemwa yanaonekana kama kweli.

Unachekesha
 
Pumbavu kabisa.. unamletea nani ngonjera za kitoto hizi..... hatuwezi kufurahia kamwe mafanikio ya utopolo ili ahali wao ndio wenye chuki zaidi na mafanikio ya Simba.. kamwe haitatokea kuwa support kama watachukua kombe acha wachukue.. ila support wasahau kabisa....
unafikiri tumesahau kipindi kile wanaenda kuwapokea wapinzani wetu kwenye viwanja vya ndege?

unafikiri tumesahau kipindi kile tukishinda wanatukebehi na kutuandika mitandaoni kuwa tumetumia dawa za kupuliza vyumbani dhidi ya wapinzani wetu..
hatujasahau hawahawa ndio walikuwa wakiwapa siri za maandalizi wapinzani wetu kabla ya mchezo...

acha wafanikiwe na sisi tutafanikiwa kwa wakati wetu....
 
Kwenye Records Simba ina Mafanikio kuliko Yanga, ila kwenye Historia, Yanga imeandika historia kuliko simba

First time in history Benjamin Mkapa inapigwa nusu Fainali, naamini sasa tutaanza kujiamini na kuona kumbe inawezekana

Simba na Yanga sio watani ; ni watu wasiopendana
 
Historia gani? Acha bange.....

Hapo UHURU imeshapigwa fainali ya CAF CUP
Hapo UHURU imeshapigwa nusu fainali ya KLABU BINGWA AFRIKA CAFCL.....sio shirikisho ni KLABU BINGWA AFRIKA wanaume wameubonda hapo,

NA NI SIMBA SC NDIO WAMEFANYA HAYA YOTE,

Kiufupi ni kwamba

SIMBA SC IMEANDIKA HISTORIA KUBWA ,MAFANIKIO MAKUBWA NA KUITANGAZA HII NCHI KUPITIA SOKA KULIKO VITIMU VYOTE NCHINI,

UNATAKA HIVYO
HUTAKI HIVYO.
Screenshot_20230426-125554~2.jpg
Screenshot_20230426-123542~2.jpg
 
Historia gani? Acha bange.....

Hapo UHURU imeshapigwa fainali ya CAF CUP
Hapo UHURU imeshapigwa nusu fainali ya KLABU BINGWA AFRIKA CAFCL.....sio shirikisho ni KLABU BINGWA AFRIKA wanaume wameubonda hapo,

NA NI SIMBA SC NDIO WAMEFANYA HAYA YOTE,

Kiufupi ni kwamba

SIMBA SC IMEANDIKA HISTORIA KUBWA ,MAFANIKIO MAKUBWA NA KUITANGAZA HII NCHI KUPITIA SOKA KULIKO VITIMU VYOTE NCHINI,

UNATAKA HIVYO
HUTAKI HIVYO.View attachment 2617719View attachment 2617721

Mwaka gani simba ilicheza fainali na nusu Fainali? Alicheza na timu gani ?
 
Back
Top Bottom