Simba SC msichukie mafanikio ya Yanga, nashauri iwe ni chachu kwenu

Hiyo fainali yenu ilikuwa sio fainali ya caf champions league Bali ilikuwa fainali ya abajalo cup kombe lililodhaminiwa na tajiri wa Nigeria.
Endelea kurukaruka ndio kuiva kwa maharage
 
Hiyo fainali yenu ilikuwa sio fainali ya caf champions league Bali ilikuwa fainali ya abajalo cup kombe lililodhaminiwa na tajiri wa Nigeria.
Endelea kurukaruka ndio kuiva kwa maharage
Acha bange, UTANISHUKURU
 
Yanga amefanikiwa wapi? Usitulazimishe kuishabikia wala kuiombea mazuri wao ndo walianza chuki kwa kuona Simba inaenda kufanikiwa, Kila mtu aangalie zake, ni sawa na kuwalazimisha Barcelona wapende mafanikio ya Real Madrid never haitatokea, Zamalek apende mafanikio ya Al Ahli sahau, umeandika kinazi jifunze upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…