Simba SC msichukie mafanikio ya Yanga, nashauri iwe ni chachu kwenu

Simba SC msichukie mafanikio ya Yanga, nashauri iwe ni chachu kwenu

Historia gani? Acha bange.....

Hapo UHURU imeshapigwa fainali ya CAF CUP
Hapo UHURU imeshapigwa nusu fainali ya KLABU BINGWA AFRIKA CAFCL.....sio shirikisho ni KLABU BINGWA AFRIKA wanaume wameubonda hapo,

NA NI SIMBA SC NDIO WAMEFANYA HAYA YOTE,

Kiufupi ni kwamba

SIMBA SC IMEANDIKA HISTORIA KUBWA ,MAFANIKIO MAKUBWA NA KUITANGAZA HII NCHI KUPITIA SOKA KULIKO VITIMU VYOTE NCHINI,

UNATAKA HIVYO
HUTAKI HIVYO.View attachment 2617719View attachment 2617721
Hiyo fainali yenu ilikuwa sio fainali ya caf champions league Bali ilikuwa fainali ya abajalo cup kombe lililodhaminiwa na tajiri wa Nigeria.
Endelea kurukaruka ndio kuiva kwa maharage
 
Hiyo fainali yenu ilikuwa sio fainali ya caf champions league Bali ilikuwa fainali ya abajalo cup kombe lililodhaminiwa na tajiri wa Nigeria.
Endelea kurukaruka ndio kuiva kwa maharage
Acha bange, UTANISHUKURU
FB_IMG_1683650835061.jpg
 
Yanga amefanikiwa wapi? Usitulazimishe kuishabikia wala kuiombea mazuri wao ndo walianza chuki kwa kuona Simba inaenda kufanikiwa, Kila mtu aangalie zake, ni sawa na kuwalazimisha Barcelona wapende mafanikio ya Real Madrid never haitatokea, Zamalek apende mafanikio ya Al Ahli sahau, umeandika kinazi jifunze upya
 
Back
Top Bottom