Simba SC Msiogope Kuwaiga Amazulu FC

Simba SC Msiogope Kuwaiga Amazulu FC

Sisi mashabiki wa simba mo na babra hatuwataki waondoke
 
Leo asubuhi nimepata nafasi ya kuwa pamoja na mmoja wa kuongozi wenu. Yaani ni miongoni mwa wanakamati wa ile Bodi yenu.

Nilikuwa napiga nae stori mbili tatu viwanja fulani hivi hapa jijini Dar. ( si mnajua mambo ya wikiend ).

Katika stori akatanabaisha wazi kuwa viongozi wa klabu yenu wamegawanyika katika pande kuu mbili.

Moja:
Inataka kikosi kizima kifumuliwe, yaani waachwe wachezaji wengi kwa wakati mmoja. Wachezaji ambao wana above 33yrs plus local players ambao hawajafanikiwa kuonyesha ushindani.

Mbili:

Huu upande ni ule una idadi kubwa ya viongozi wenye kujaa hofu kwamba kikosi kisifumuliwe bali wapatikane wachezaji wagharama kubwa kama 3 tu ili waone kama watasaidia mtumbwi usizame msimu ujao.

Kundi la kwanza linapendekeza kuondolewa wachezaji wengi kwa mkupuo na kununua wachezaji wengi kwa bei nafuu.

Hilo kundi la pili linahofu kubwa sana kuhusu kuwapo wa wachezaji wengi wapya ambao wataleta changamoto ya kupatikana chemistry kwenye kikosi.

Na ndio sababu ilapelekea hata dili la Adebayor kuingiliwa kati la Berkane huku wao wakibaki wanajibizana.

Kiongozi huyo ikafika hatua akaanza kulalamika kuwa mgawanyiko huo ndio umewarahisishia hata Yanga SC kukamilisha mkataba wa awali na Azizi Ki.

Ushauri wangu ni kwamba msiogope kuondoa wazee hapo klabuni kwenu kwa hofu ya wachezaji wapya kukosa connection mapema.

Bali fanyeni uamuzi wa kweli maana next season Yanga SC watakuja kuwakwaruza panye kidonda..

View attachment 2257546
Na next season yanga itakuwa imara kama chuma cha pua wasipojipanga wakakalia mambo ya 10% watakuwa na misimu mingine 5 michungu maana kadri muda unavyozidi kwenda na yanga ndivyo wanavyozidi kujiimarisha kwa kuwa washjifunza mengi yaliyowakwamisha wasifanye vizuri miaka ya nyuma kwa maana iyo ni ngumu sana kurudia makosa ili simba apenye na mchakato wao wa kuwapata wawekezaji ndio unaowapa kiburi zaidi kwa maana wanakwenda kuwa na pesa ya uhakika na nguvu yakiuchumi ivyo simba wajipange wasichukulie mambo poa poa
 
Drkukutana naye hata bar inawezekana ikawa mwanzo wa mafanikio kuliko kutangaza mmemsajili halafu kumbe hata kuonana na mwenyewe bado
Hersy Said anamtumia Stephens Aziz Kii kuipora Yanga.
Ila ukweli Stephens amesajiliwa Berkane
 
Na next season yanga itakuwa imara kama chuma cha pua wasipojipanga wakakalia mambo ya 10% watakuwa na misimu mingine 5 michungu maana kadri muda unavyozidi kwenda na yanga ndivyo wanavyozidi kujiimarisha kwa kuwa washjifunza mengi yaliyowakwamisha wasifanye vizuri miaka ya nyuma kwa maana iyo ni ngumu sana kurudia makosa ili simba apenye na mchakato wao wa kuwapata wawekezaji ndio unaowapa kiburi zaidi kwa maana wanakwenda kuwa na pesa ya uhakika na nguvu yakiuchumi ivyo simba wajipange wasichukulie mambo poa poa
Unaongea huku ukitokea bar ipi mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Hersy Said anamtumia Stephens Aziz Kii kuipora Yanga.
Ila ukweli Stephens amesajiliwa Berkane
Tusubiri mda utaongea , hadi alikuwa anavaa jezi ya Aziz Kii ,kama nia ni kukomoa Simba kuonyesha wamemsaji basi mtopolo ni mtopolo tu.Najua wachezaji wa West Africa kwenye dau hawacheki lazima aende Berkane kama Berkane wakamwekea dau kubwa.
 
Na next season yanga itakuwa imara kama chuma cha pua wasipojipanga wakakalia mambo ya 10% watakuwa na misimu mingine 5 michungu maana kadri muda unavyozidi kwenda na yanga ndivyo wanavyozidi kujiimarisha kwa kuwa washjifunza mengi yaliyowakwamisha wasifanye vizuri miaka ya nyuma kwa maana iyo ni ngumu sana kurudia makosa ili simba apenye na mchakato wao wa kuwapata wawekezaji ndio unaowapa kiburi zaidi kwa maana wanakwenda kuwa na pesa ya uhakika na nguvu yakiuchumi ivyo simba wajipange wasichukulie mambo poa poa
Simba wana masihara mengi ,kwa mwaka huu uliopita kwa wachezaji wa kigeni walio nao hata wagechukua wa ndani pure bila wa kigeni wangeshika hiyo nafasi ya pili ,wachezaji wa kigeni wamekuwa na mchango mdogo kwa ligi ya dani.

Yanga wasipozinguana halafu na hizo tetesi zikawa kweli watasumbua tena kwenye ligi ila kimataifa sahauni .
 
Uko sahihi kwa kiasi fulani mkuu. Mimi ni Simba ingawa sikubaliani na GSM kutaka kuibeba Yanga mazima(kupitia Hersi kuwa rais) lakini kwa kiasi kikubwa na wasifu kwa kuondoa takataka za "kamisheni".

Simba hii inafuga midubwasha pale haina kazi kama Matola na wakina Magoli. Porojo nyingi vitendo sifuri.
 
Timu yenye njaa ya mafanikio haiwezi kumuweka Mugalu kwenye mijadala eti aachwe au abakishwe simba. Mchezaji wa kigeni goli 0 kwenye ligi na kamaliza mkataba wake bado mnajadili et abaki au la!

Ovyo kabisa kamati ya usajili ya simba.
 
Mm pia nimeshangaa sana kusikia eti wamegawanyika kisa mugalu
 
kukutana naye hata bar inawezekana ikawa mwanzo wa mafanikio kuliko kutangaza mmemsajili halafu kumbe hata kuonana na mwenyewe bado
Mkuu siku hizi umebadilika sana, sijui ni huu upepo wa Msimbazi ndio umekubadili au vipi. Siku hizi umepunguza utoaji wa maoni kishabiki kwa asilimia kubwa sana mpaka naangalia mara mbili mbili ID kama ni wewe kweli. Unaongea zaidi uhalisia

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Simba wana masihara mengi ,kwa mwaka huu uliopita kwa wachezaji wa kigeni walio nao hata wagechukua wa ndani pure bila wa kigeni wangeshika hiyo nafasi ya pili ,wachezaji wa kigeni wamekuwa na mchango mdogo kwa ligi ya dani.

Yanga wasipozinguana halafu na hizo tetesi zikawa kweli watasumbua tena kwenye ligi ila kimataifa sahauni .
hapo kimataifa😁😁😁
 
Back
Top Bottom