GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama kuna Striker ambaye nilikuwa Simpendi Simba SC ni huyu / huyo ila nasikitika kusikia kuwa anataka Kurejeshwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha uongo wewe dogoNaomba kujua Connection ya hii Post yako na Kuileta hapa katika huu Uzi wangu tafadhali. DCEA mna Kazi Kubwa mno.
Baleke huyu hapa na mjumbe wa bodiwacha uongo wewe dogo
if he is not good for tp mazembe, he is not good for simba. sema mtamsajili, he is the best option.Wamsajili nani Sasa?
sasa asipige picha na maza? Au kama yuko likizo asije kutazama timu yake anayoipenda? Mbona kale ka morrison kutwa kanazurura yanga....msimpangie mtu vakesheni zake...tayari ushakonkludi ila wabongo bana...