Simba SC msitishwe na wala msidanganywe achaneni na Jean Baleke kwani hakuna Mshambuliaji hapo

Baleke huyu hapa na mjumbe wa bodi

asha baraka,

simba is a joke 🚮

View attachment 3014107
sasa asipige picha na maza? Au kama yuko likizo asije kutazama timu yake anayoipenda? Mbona kale ka morrison kutwa kanazurura yanga....msimpangie mtu vakesheni zake...tayari ushakonkludi ila wabongo bana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…