Simba SC na Asec Mimosas ndio zitacheza robo fainali

sure mkuu
 
Mleta Uzi endelea na Utabiri wako, Kwa iyo Jana tar 19 Dec embu tueleze Utabiri ugolo wako. Je Simba kafungwa?? Acha mambo ya kufikirika, That is Simba!!
 
Hivi Robertinho na benchi lake la ufundi walikuwa wanawafundisha nini wachezaji wa simba? Wachezaji hawakuwa na physic, plan, uwezo wa kufunga, uwezo wa kujidifend. Walikuwa wanapigapiga mpira tu.
Ni nini ilikuwa shida. Kama vipi Robertinho apelekwe mahakama ya mafisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…