Simba SC na Asec Mimosas ndio zitacheza robo fainali

Simba SC na Asec Mimosas ndio zitacheza robo fainali

Timu yetu ya Simba siyo vyepesi kuvuka hii hatua ya makundi, trend yao ni mbovu sana, goli la leo lilikuwa linazuilika laiti kama wachezaji wangujipanga kuzuia, yule mfungaji asingeweza kucheza ule mpira kirahisi vile. Wayda wameforce Simba wafanye makosa ya makusudi dakika za mwisho na Simba wakayafanya, hata kwa mkoa Simba hana uwezo wa kumfunga Waydad, akila vibaya Simba atapigwa tena goli 1 au 2
sure mkuu
 
Mleta Uzi endelea na Utabiri wako, Kwa iyo Jana tar 19 Dec embu tueleze Utabiri ugolo wako. Je Simba kafungwa?? Acha mambo ya kufikirika, That is Simba!!
 
Hivi Robertinho na benchi lake la ufundi walikuwa wanawafundisha nini wachezaji wa simba? Wachezaji hawakuwa na physic, plan, uwezo wa kufunga, uwezo wa kujidifend. Walikuwa wanapigapiga mpira tu.
Ni nini ilikuwa shida. Kama vipi Robertinho apelekwe mahakama ya mafisadi
 
Back
Top Bottom