Yaani mmecheza na timu mbovu kwenye kundi halafu unasifia kuwa imecheza vizuri. Haaahaaahaaa.Kwa Simba hii ya ilivyocheza leo naiona robo fainali kwa point 11 mbele ya asec ambayo itakuwa na point 10
Mark my words
Na jamaa sasa wameshaona mwanga hivyo lazima wataweka mikakati mizito kuwakanda nyumbani kwenu