GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Najua mlikuwa mnalificha hili ila kwa wadadisi na wachunguzi wabobezi wa masuala mtambuka nchini Tanzania, Rwanda na Uganda, akina GENTAMYCINE tuna taarifa za uhakika kuwa wote Simba SC na Azam FC mlikuwa mnavizia sana na hata kuombea Yanga SC jana ifungwe na Club Africaine ili Kocha Nabi afukuzwe rasmi na haraka mno, mshindane kwa ofa (pesa) na mumchukue.
Haya huyu ndiyo mmeshamkosa hivyo na Kocha Nabi ataendelea kuwa sana tu Yanga SC, kwahiyo haraka sana Simba SC na Azam FC tangazeni wale Makocha wenu watatu mlio wa 'shortlist' kutoka Uganda, Sudan, Ufaransa na Afrika Kusini.
Mgunda na Ongalla hawana hadhi ya kuwa Makocha wa Vilabu vya Simba na Azam vyenye wachezaji wakubwa na wenye uwezo (vipaji) hata kuliko walivyokuwa wao enzi zao wakicheza soka.