SIMBA SC na Azam, kuna kitu Yanga anawafundisha lakini hamuelewi. Mpira hauna shortcut

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Yanga imechagua professional football over drama na traditional ways of doing things na kimsingi wapo serious .

Hakuna mambo ya ulaghai. Kalumanzila na mpira wa mdomoni.. everything ni kwenye pitch , tuoneshe kikosi cha bil 7, otherwise ni drama na traditional ways of doing things.

Very soon Simba SC anakwenda kuwa underdog kwa Yanga by 80%

Soma Pia: Yanga inatoa wapi wachezaji? Inaniuma sana aisee, jana nimeshindwa kulala

There is no shortcut kwenye soka, mpirani mchezo wa wazi kabisa na hakuna njia ya mkato. lakini Simba SC wapo bado kwenye UDANGANYIFU na Utapeli….. kikosi cha bil 7 , nasema tena bado hamjawa serious na bado mmezoea shortcu Kazi mnayo

Yanga kanyaga twende.

Tumechelewa sana . Kombe linaéda kwa YANGA as usual , hakuna timu itakayouweza Yanga kwa miaka 5 mfululizo.
 
Tatizo pale Simba udalali wa wachezaji ni mwingi, watu wanakula 10% kwa kila mchezaji anayesajiliwa , tutegemee nini?
 

ukosa sahihi

Mwaka 2025 tukiwa serious kama yanga nchi itaendelea

Uchaguzi 2025 tunaenda kupiga chini ubabaishaji wizi na uchawi
 
Baelezeage.
 
Lengo la kutumia geti lisilo rasmi kuingia na bus dogo huwa ni nini?
 
Huwa ni hatari sana kama ni mtu mzima halafu unapriotize kutumia emotions.

Team za Kariakoo professionalism huwa ni 30-40% tu the rest ni michezo ya propaganda & manipulation.

Perhaps kama huelewi maana ya hilo neno na huijui michezo ya clubs hizo mbili.

Wenzako huwa hawaumizi kichwa tena kuhusu hao Kurwa na Dotto.

Hizo clubs huwa zinaendeshwa kutokana na interest za watu fulani ni basi tu kuna muda zinalindwa na matokeo ya uwanjani.
 
Mbona bado wanapitia milango isiyoruhusiwa au ndo professionalism unazungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…