SIMBA SC na Azam, kuna kitu Yanga anawafundisha lakini hamuelewi. Mpira hauna shortcut

Mwisho wenu hauko mbali... huku sio ulaya...hii ni Africa tena Tanzania...
Endeleeni kubwabwaja...
 
Mwisho wenu hauko mbali... huku sio ulaya...hii ni Africa tena Tanzania...
Endeleeni kubwabwaja...
Watakuiba hao utopolo si wazuri hata, ebu sogeza kiti karibu nami umwagilie moyo Mrembo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Inawezekana upo sahihi mkuu ila iyo ilikua uko zaman na sio sas

kumbuka watu wameweka hela zao kwenye izo team kuna wachezaji wakigeni wanalipwa hela ndefu sana apo halaf kizembezembe tu serekali ingize mkono wake kwa kuendekeza siasa zenu za maji taka ? Never
 
CCM haitakubali hilo that's why hata wakina MO na GSM serikali ikiwata waondoke wanasepa hata unaona asilimia mwisho 49 unafikiri zile 51 ni za nani angalia hata matamasha yao Raisi lazima atie neno ni suala la muda hizo timu za serikali kuwapumbaza watanzania hawatakubali mmoja iwee juu kwa miaka 5 na nyingine ife watakosa neno ni suala la muda tu Yanga kuanguka kwani ww akili yako Ile miaka 4 ya Simba uliamini Leo watakosa kombe Mara 3 mm niliamin na niliwaaambia wengi kama vile navyokuambia na ww ila kama bado unaamini hizo timu zipo serious sawa ila huo ndio ukweli Yanga hana uwezo wa kuchukuwa kombe Mara zaidi ya 5 kama vile Simba asivyoweza ndio itakavyokuwa hao kulwa na Dotto hawawezi kukubali mmoja aanguke kisa ww yaan Yanga achukuwe kombe Mara 10 hivi hata ww unaona inakuja akili hii ule umati wote wa wana Simba kwa serikali ya CCM unaweza kuwa kikwazo
 
Simba ilitawala miaka 4 hapa. Hamkusema au umesahau
 
Simba wameamua kufanya kitu tofauti, wenyewe wamejitoa kwenye soccer la ushindani, wameamua kuanzisha soccer academy kwa ajili ya kulea wachezaji na wapo very proud katika hilo
 
 

Attachments

  • RPReplay_Final1723534475.mov
    17.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…