Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Tanzania Premiere League TPL kuendelea leo :
Simba wamepata goli 2 kipindi cha kwanza na sasa Muda wa Mapumziko.
Goli la kwanza likifungwa na Adamu Salamba dakika ya 12"
Na Goli la pili likifungwa na
Saidi Ndemla dakika ya 14"
Nawasilisha simba nguvu moja tunaendelea na kipindi cha pili.
===== Updates======
Mpira umeisha dakika 90"
Simba 2
Kmc 1.