Simba SC Na Maajabu yake

Simba SC Na Maajabu yake

Nawapongeza sana Simba kwa kuwa wa bunifu. Wamejiongeza zaidi. Baada ya kuona Timu yao imekosa muelekeo wakabuni vikundi vya kupiga viongozi wakakipeleka kwa mkopo hata kule Coast Union.

Wameanzisha vikundi vya ushangiliaji kwa timu yeyote itakayokuja Dsm ili mradi haichezi na simba.

Inatoa msaada wa kuwa msemaje wa timu yoyote ile. Pia wamejiongeza zaidi wanatoa huduma ya kukushikia nafasi bure huduma hiyo tayali Yanga na Azam wameisha faidika.

Haya kwa wale wanaoenda kigoma na reli ya kati usihangaike kugombea nafasi wasiliana na club ya simba watakushikia nafasi mpaka utakapo amua kusafiri
Hata kama ni ushabiki, sio kila kitu lazima ufungulie post mtani..
 
IMG-20150926-WA0021.jpg
 
wazee wa viporo,safari hii mtakoma, ubingwa mnatuachia wenyewe watoto wa town simba fc,viporo mlivyobaki navyo vyote ni vya ugenini,sasa mtachukuaje ubingwa labda anayewakumbatia malinzi hzo mechi zote achezeshe yeye,na vijana wa takukuru na usalama watakuwepo kuhakikisha fair play inakuwepo,hahahahaaaaaaaaaa
 
We ni Die hard fan hongera.......[emoji2] [emoji3] [emoji3]
Hahahaah mkuu hakuna kukata tamaa wakati bado mapema namna hii. Leo tunaua MTU nyingi tu.!
 
wazee wa viporo,safari hii mtakoma, ubingwa mnatuachia wenyewe watoto wa town simba fc,viporo mlivyobaki navyo vyote ni vya ugenini,sasa mtachukuaje ubingwa labda anayewakumbatia malinzi hzo mechi zote achezeshe yeye,na vijana wa takukuru na usalama watakuwepo kuhakikisha fair play inakuwepo,hahahahaaaaaaaaaa
Tayari kiporo kimoja kimeliwa mchana kweupeeeee!!!!! Ukijua unajua tu, hakuna cha ugenini wala nyumbani, Toto Afrika aliwabandua hapo hapo Taifa lakin jana kiulaini vijana wa Pluijm wakamlea Toto lao kwa kumpa biskut mbili moja zawad kutoka Burundi iliyotolewa na kaka Yake Amiss Tambwe na nyingine kutoka kwa kaka aishie bongo Juma Abdul Jafary. Subiri leo mpakatwe hapo hapo taifa na wana lambalamba ndio mkome kuchonga chonga hovyo kama yule msemaji wenu muliempeleka Coast Union kwa Mkopo.
 
Hahahaah mkuu hakuna kukata tamaa wakati bado mapema namna hii. Leo tunaua MTU nyingi tu.!
Sipati picha ungekuwa unaongea hivi halafu nakuona unavyotamka hayo maneno sijui unakuwa kwenye hali gani!!!!!!! Aiiiisee nakuonea huruma sana mkuu Katavi, au ndio yule shabiki ambae alimrushia jiwe Hans Poppe baada ya kupigwa kamoko na Toto la Afrika!!!!!
 
Tayari kiporo kimoja kimeliwa mchana kweupeeeee!!!!! Ukijua unajua tu, hakuna cha ugenini wala nyumbani, Toto Afrika aliwabandua hapo hapo Taifa lakin jana kiulaini vijana wa Pluijm wakamlea Toto lao kwa kumpa biskut mbili moja zawad kutoka Burundi iliyotolewa na kaka Yake Amiss Tambwe na nyingine kutoka kwa kaka aishie bongo Juma Abdul Jafary. Subiri leo mpakatwe hapo hapo taifa na wana lambalamba ndio mkome kuchonga chonga hovyo kama yule msemaji wenu muliempeleka Coast Union kwa Mkopo.

Hiki cha jana hakikuwa kiporo tegemewa mkuu,tulitarajia ushindi wenu ule kutoka kwa tawi lenu,shinda vinavyofuata nikuone kweli una uwezo uliotukuka mkuu,nakukaribisha kwa shauku kubwa kny viporo vilivyobaki visivyokuwa matawi yenu,karibuni mbeya,mtwara mkipige,
 
Mmmh! Hapo hamna kiporo cha kututoa jasho mkuu, Tunampiga Stand United Jumanne then tunamtoboa Sagrada Taifa kisha tunaenda kuwatia adabu Mbeya city, tunakwea Mwewe hadi Luanda-Angola kumtoa Sagrada, kisha tunarudi kuja kujitangazia ubingwa wa 26 wa ligi kuu katika historia ya club yetu. Kiporo kigumu kilikuwa kimoja tu cha Mtibwa hivyo vingine ni kujilia tu hata bila ndimu vinaenda.
 
Hahahahaaaaaa,hata mgonjwa wa ngwengwe pia hupewa matumaini ya namna hiyo ingawaje inajulikana fika kabisa kuwa ni lazima afe
 
Sipati picha ungekuwa unaongea hivi halafu nakuona unavyotamka hayo maneno sijui unakuwa kwenye hali gani!!!!!!! Aiiiisee nakuonea huruma sana mkuu Katavi, au ndio yule shabiki ambae alimrushia jiwe Hans Poppe baada ya kupigwa kamoko na Toto la Afrika!!!!!
Hahahaah wala sio huyo. Utaniona baadae uwanjani nikishangilia azam akipigwa...!!!
 
Back
Top Bottom