Simba SC na Mtibwa

Simba SC na Mtibwa

Musa hassan Mgosi ameingia kuchukua nafsi ya Nico Nyagawa
 
Omary Matuta wa mtibwa sugar ameingia.
 
Wachezaji wa mtibwa wamegongana viba na kupelekea mchezaji Omary Matuta kutowewa....
 
Ni Mbwana Samatta anaipatia Simba goli la nne kwa njia ya penati baada ya Musa hasan Mgosi kufanyiwa madhambi na goliki wa mtibwa..
 
mbwana samata ameondoka na mpira baada ya kufunga magoli matatu peke yake.
 
Tarehe 5-03-2011 ni Simba na Yanga....
 
folks, ahsanteni kwa updates.. nahamia wembley
 
Okey: matokeo tayari yapata. Lazima Ubingwa urudi MSIMBAZI.
 
Okey: matokeo tayari yapata. Lazima Ubingwa urudi MSIMBAZI.
Kama alivyosema Kocha wetu Kuwa ubingwa wetu anao Mtibwa na Yanga...kizingiti cha kwanza tumevuka bado cha tarehe 5 mwezi wa 3...
 
MPAKA MWISHO WA MCHEZO SIMBA 4 MTIBWA 1.Goli na nne likifungwa na Mbwana Samatta kupitia mkwaju wa penati,na ameondoka na mpira kwa vile kafunga goli tatu
 
Simba taifa kubwa, mmetupa raha washabiki wenu leo. Tunasubiri ubingwa kwa hamu.
 
Back
Top Bottom