Simba SC na Yanga SC kwenye game PES2020

Simba SC na Yanga SC kwenye game PES2020

Gentleman96

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2019
Posts
912
Reaction score
1,670
FB_IMG_1590428371219.jpg
Itakua jambo la furaha kuona club zetu pendwa za mpira wa miguu zikipatikana kwenye games kama fifa, Pes na magame mengine!
Hizo picha nimezitoa kwenye ukurasa wa habari tu za kimichezo africa zone !
 

Attachments

  • FB_IMG_1590428339731.jpg
    FB_IMG_1590428339731.jpg
    34.3 KB · Views: 105
View attachment 1459587Itakua jambo la furaha kuona club zetu pendwa za mpira wa miguu zikipatikana kwenye games kama fifa, Pes na magame mengine!
Hizo picha nimezitoa kwenye ukurasa wa habari tu za kimichezo africa zone !
Kama kweli ni Pes au Fifa wenyewe basi habari njema ila simba na yanga kwenye games zipo kitambo kwa hisani ya editing.
 
Anayecheza Pes2020 anazipata wapi hizi timu? maana kuna dogo nimemwambia aniangalizie yeye yupo vizuri kwenye haya magame ila hajaziona
 
Viwanja vibovu ndio vinatuangusha. Vinginevyo tungekuwa na viewers east and central Africa kwani ligi sasa ina wachezaji kutoka nchi 17 duniani.
 
Back
Top Bottom