Jinga sana hii mutu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinga sana hii mutu
Ni Emmanuel Anold Okwi, sio Emmanuel Gabriel Okwi. Huyo Emmanuel Gabriel tupo naye uswahilini huku Kibeberu akitusimulia jinsi alivyokuwa anampiga misumari MachuppaSimba SC namuhitaji Emanuel Gabriel Okwi
Unakatwa na MlawaMwaisela na Sewahaji zote ni Muhimbili tu Pimbi Wewe.
Wewe ni kirusi hapo Simba.Nadhani ni miongoni mwa wale wapiga dili mnaotaka kufaidi mapato ya club wakati hamchezi mpira.Tena fanyeni upesi mtafuteni na zungumzeni nayo Simba SC ya sasa inamuhitaji mno Okwi aje Kuungana na akina Phiri na wengineo na nina uhakiika Kikosi chetu kitakuwa Kizuri kuliko mfikiriavyo.
Kama hamumuwezi tafadhali niambieni ili nikamalizane nae kwani Yeye na aliyekuwa Beki wetu Tegemeo na Mganda Mwenzake Joseph Owino ni Wanangu kinomanoma na hawapinduki Kwa Mzanaki, Mmakuwa na Mtutsi Mimi.
Kwahiyo Kwako Wewe Mwana Yanga SC Kocha Matola ambaye namjua ndani nje na ni Rafiki yangu mkubwa ni Kocha wa Kuisaidia Simba SC? Tafadhali acha Kunilazimisha nianze Kukudharau sawa? Huna unachokijua kuhusu Simba SC na huyo Kocha Matola ambaye Yeye na Mwenzake Meneja Rweymamu ndiyo Wasaliti wakubwa wa Simba SC kila ikicheza na Yanga SC kwa Kuuza Mechi na kutoa Siri za Kambi wakimpa Msaliti Mwenzao Said Tuli.Wewe ni kirusi hapo Simba.Nadhani ni miongoni mwa wale wapiga dili mnaotaka kufaidi mapato ya club wakati hamchezi mpira.
Ninyi ndio mnaouza mechi kwa kushirikiana na wachezaji mnaosema "mnawamudu"
Simba inapaswa kuogopa sana watu wa aina yako.
Ulinikera sana ulipotaka Matola aondoke.Pamoja na uzoefu wote alioupata akiwa Simba,anakuja mtu kalewa kimpumu anasema maneno kama hayo!