Simba SC nawapa tahadhari, Victorien Adebayor ni usajili wa utapeli

Simba SC nawapa tahadhari, Victorien Adebayor ni usajili wa utapeli

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mchezaji wa ukweli na mwenye hadhi ya kimataifa hawezi kuingizwa dakika ya 86 halafu hao wanaocheza humo ndani nao wana uwezo wa kawaida sana, huyu ADEBAYOR hapana, hapana, hapana, ni wizi mtupu.

Adebayor ameshuka kiwango, Adebayor hana maajabu yoyote, adebayor hawezi chenga, adebayor hana control, adebayor hana spirit, adebayor hana control, adebayor hana balance, anaanguka anguka t dimbani, adebayor amekuwa na kitambi kwa kukaa benchi RS Berkane.

Naanza na huyu, najua alipokuja nchini mlikaa naye kufikia hatua nzuri na baadae mmepanga muende Berkane mkamalize naye, chaneni all contract documents kama mlikuwa nazo na mkazitupe dampo la Pugu.

Na natoa angalizo msisajili wachezaji kwa umaarufu wao waliokuwa nao, ss hv tunataka tuwaone kabla ya kuwasajili, hata Luious Micquisone ameachwa timu yake ya Taifa kwa sababu kiwango kimeshuka sana.
 
Nakuunga mkono Miqson na Adebayo hapana wana mwaka mzima hawajacheza italeta shida viwango vyao haviwez kuwa sawa
 
Unaweza ukakuta washamalizana nae,maana viongozi wa Simba na Yanga akili zao sometimes wanazijua wenyewe.

Azam msimu ujao yupo serious mno,ukifanya usajili wa hovyo unaweza ukakucost kwa miaka miwili.
 
Adebayor ni usajili sahii na ni mchezaji mwenye uwezo na kiwango bora, hata chama hakua na nafasi Barkane ila alivyorudi uwezo wake tumeuona,

Adebayor na Miqson ni usajili bora kabisa,
 
Mchezaji wa ukweli na mwenye hadhi ya kimataifa hawezi kuingizwa dakika ya 86 halafu hao wanaocheza humo ndani nao wana uwezo wa kawaida sana, huyu ADEBAYOR hapana, hapana, hapana, ni wizi mtupu...
Hii biashara ya kula matapishi...hamjifunzi kwa Chama?

Jamaa karudi kapoa sana.

Tafuteni chipukizi wanaoibukia mkae nao angalau miaka 2 hadi 4
 
Hii biashara ya kula matapishi...hamjifunzi kwa Chama?
Jamaa karudi kapoa sana.

Tafuteni chipukizi wanaoibukia mkae nao angalau miaka 2 hadi 4
Nyinyi pale mna wachezaji gani kutoka nje ambaye ni chipukizi ambaye mmekaa nae walau misimu mwiili? Taja wawili tu.
 
Kama.amecheza hizo dk 5 na umeona yote hayo vipi akicheza zaidi ya dk 70?
 
Back
Top Bottom