nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Simba SC ya Tanzania ndani ya PES CAF, zipo teams 51 tu za africa ,ikumbukwe simba ni ya 16 afrika kwa ubora hivyo ni lazima iiingie kwenye issue hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni game kama fifa kama huelewi acha tu
hapana ni official news imetoka lisaa liliopita teams zipo 51 tu hata as vita ya congo wamepost kwenye page yao ya instagram wakishangiliaSio patch kweli hii?
Au konami wameupdate,mbona imechanganywa na team za ulaya?
Siku zote vilabu vya afrika huwa haviwekwi kwenye football games.
Ngoja nikacheki google.hapana ni official news imetoka lisaa liliopita teams zipo 51 tu hata as vita ya congo wamepost kwenye page yao ya instagram wakishangilia
Ngoja nikacheki google.
ingia hata insta kwenye page ya as vita wanashangilia naoNgoja nikacheki google.
AS vita wanshangilia, Ghana wanashangilia kwa nini nasi tusifurahie,hata mkinuna HIII NI BIG NEWS YA KARNE, vinara wa east africa
wacha weee, kama yanga wapo basi hata Namungo ipoMbona yanga nao wamo ila wametuliza mshono
Embu weka source ya hiyo habari yako hapa.hapana ni official news imetoka lisaa liliopita teams zipo 51 tu hata as vita ya congo wamepost kwenye page yao ya instagram wakishangilia
nimepost source ngapi hapo juu?ni habari ina kama lisaa na nusu tu, nashangaa clouds wamemaliza kipindi hata hawajairushaEmbu weka source ya hiyo habari yako hapa.
Kwenye official page pes hakuna hiyo taarifa naona ni mambo ya patch na mod tu hapo. Wajanja wajanja maana me tangu pes2017 nilikuwa pia naweka team za caf.ingia hata insta kwenye page ya as vita wanashangilia nao
umeangalia link ya you tube niliyoweka hapo juu, angalia kuanzia dakika ya 4.30 utaona issue ya caf kama ni mwana chura pole sana inabidi mvumilie tu maana hata mo arena soon itajengwa majukwaaKwenye official page pes hakuna hiyo taarifa naona ni mambo ya patch na mod tu hapo. Wajanja wajanja maana me tangu pes2017 nilikuwa pia naweka team za caf.