Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
Hakuna club yoyote ya ulaya hapo..kama ni hiyo ajax hiyo ni ile ajax ya cape town.Sio patch kweli hii?
Au konami wameupdate,mbona imechanganywa na team za ulaya?
Siku zote vilabu vya afrika huwa haviwekwi kwenye football games.