Hakuna club yoyote ya ulaya hapo..kama ni hiyo ajax hiyo ni ile ajax ya cape town.Sio patch kweli hii?
Au konami wameupdate,mbona imechanganywa na team za ulaya?
Siku zote vilabu vya afrika huwa haviwekwi kwenye football games.
hizo ni za africa ni update ya 2020,mwezi wa 11 last year waliuliza maoni ya watu watoe wishlist yao watu wakataka caf league teams za africa ziwe nyingiHakuna club yoyote ya ulaya hapo..kama ni hiyo ajax hiyo ni ile ajax ya cape town.

Pro Evolution Soccer mkuu ulivyokua unakua ulikua unafanya vitu gani kwa ajili ya entertainment? I.e kipindi cha kuanzia darasa la 3 hadi form 4?PES ni nini?
Mkuu acha uongo hizo club zote hapo za africa CAF timu ya ulaya ipi hapo unasema weweSio patch kweli hii?
Au konami wameupdate,mbona imechanganywa na team za ulaya?
Siku zote vilabu vya afrika huwa haviwekwi kwenye football games.
Mabingwa wa kihistoria vipi nao wamo?Simba SC ya Tanzania ndani ya PES CAF, zipo teams 51 tu za africa ,ikumbukwe simba ni ya 16 afrika kwa ubora hivyo ni lazima iiingie kwenye issue hiyo
View attachment 1309708
Yanga IPO?Hakuna club yoyote ya ulaya hapo..kama ni hiyo ajax hiyo ni ile ajax ya cape town.
Wakati nimeona nembo ya Gor Mahia hapoas vita wakishangilia ingawa nchi yao zipo teams tatu ,vita ,mazembe na motema pembe ,kwa east africa kama kawaida msalaba wa kuwatoa tongotongo washamba huwa unabebwa na simba wekundu wa msimbazi
View attachment 1309722