Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Japo kila mmoja ana haki ya kushabikia timu yoyote aipendayo na ana haki ya kujivunia timu aipendayo ila ukweli lazima usemwe.
Simba ndio standard ya mpira wetu Tanzania.
Timu zingine zote zinapima mafanikio yao Kwa kuiangalia Simba SC ilipo.
Wala Mihogo karibuni Kwa koment fupifupi