Simba SC ndio wameshaanza Ligi

Simba SC ndio wameshaanza Ligi

Wao kila msimu wanaamini ubingwa ni wao. Kama mgonjwa wa Ukimwi aaminivyo ataishi miaka mingi zaidi.
Wanamsiliza Haji Manara kila mwanzo wa msimu akiwapa the same story. They will never learn!
 
Halafu nimemwona Niyonzima alivyokuwa anahojiwa ITV badala ya kusema Simba kasema Yanga. Du nimeamini Mbao ni kiboko unaweza kusema mma badala ya maji. Niyonzima kajisahau kuwa yuko Simba kwa kipigo cha Mbao au ndio bado ana mapenzi na Yanga? Ha ha ha!!!


Tamaa ya pesa tu ndio iliyomponza....Nadhani sasa huenda akawa anajutia uamuzi wake.
 
Kuna mchezaji wa Mbao fc ana kadi tatu za njano, tunakata Rufaa....!!
 
Tangu ilipomfunga Yanga 6-0.?

Je wajua tangu siku hiyo mpaka leo hii Yanga amekusanya ndoo nyingi za VPL kuliko Simba...?
Andika kama mtanzania vipi kiswahili hiki ktk uulizaji wa swali.
Leta rekodi mlizovunja hapa.
 
Dk 80 tu Madera FC walishaanza kuondoka uwanjani.... Shabaaaaaaaaash,
Wana chura churani pambaneni na hari yenu mkasaidie kujaza kifusi pale matopeni wachezaji awana pakufanyia mazoezi mnashabikia matajiri wa msmbazi daa nishidaa
 
Wana chura churani pambaneni na hari yenu mkasaidie kujaza kifusi pale matopeni wachezaji awana pakufanyia mazoezi mnashabikia matajiri wa msmbazi daa nishidaa

Una habari kuwa Bilion 1.3 imetoa sare na Milioni 13huko kanda ya ziwa..?
 
Back
Top Bottom