Wanamsiliza Haji Manara kila mwanzo wa msimu akiwapa the same story. They will never learn!Wao kila msimu wanaamini ubingwa ni wao. Kama mgonjwa wa Ukimwi aaminivyo ataishi miaka mingi zaidi.
Halafu nimemwona Niyonzima alivyokuwa anahojiwa ITV badala ya kusema Simba kasema Yanga. Du nimeamini Mbao ni kiboko unaweza kusema mma badala ya maji. Niyonzima kajisahau kuwa yuko Simba kwa kipigo cha Mbao au ndio bado ana mapenzi na Yanga? Ha ha ha!!!
Tangu ilipomfunga yanga sita bila.Tangu lini...?😀😀
Harafu wala hakupata zaidi ya offer ya Yanga. Na kalipwa kwa mafungu vile vileTamaa ya pesa tu ndio iliyomponza....Nadhani sasa huenda akawa anajutia uamuzi wake.
Andika kama mtanzania vipi kiswahili hiki ktk uulizaji wa swali.Tangu ilipomfunga Yanga 6-0.?
Je wajua tangu siku hiyo mpaka leo hii Yanga amekusanya ndoo nyingi za VPL kuliko Simba...?
Wana chura churani pambaneni na hari yenu mkasaidie kujaza kifusi pale matopeni wachezaji awana pakufanyia mazoezi mnashabikia matajiri wa msmbazi daa nishidaaDk 80 tu Madera FC walishaanza kuondoka uwanjani.... Shabaaaaaaaaash,
Wana chura churani pambaneni na hari yenu mkasaidie kujaza kifusi pale matopeni wachezaji awana pakufanyia mazoezi mnashabikia matajiri wa msmbazi daa nishidaa
Hahaaaa. Yaani kaka leo burdaani kabisa. KimyaaaaHahaha kama hawaamini vile??
Swahiba kumbe na wewe Mwanajangwani mwenzangu.Kale kaugonjwa chao cha droo hakawezi kuwaacha salama kikosi cha bilion 1.3
Hahaaa. Hawawezi kusogea humu wanapita kimya kimya huku wakiugulia maumivu.Jaman wanasimba ebu mkuje huku mtetee bilion zenu za pesa ....manula leo kapewa kubwa kuliko
Kabisa yaani. Hahahaaaaa.Lile goli la mbao unaweza kwenda kuombea mkopo bank mbonge wa goli!!
Yaan swahiba mimi ni mwanajangwani mwenzako kabisaaaSwahiba kumbe na wewe Mwanajangwani mwenzangu.
Hahaaaa. Nimefurahi sana kulifahamu hilo swahiba.Yaan swahiba mimi ni mwanajangwani mwenzako kabisaaa
sasa wee uritakaje Mkuu wenzenu wameenda mahakamani Leo kumpigia magoti manji Ali tete wachezaji wanashindi vitumbuwa ukuUna habari kuwa Bilion 1.3 imetoa sare na Milioni 13huko kanda ya ziwa..?
Tupo pamoja swahiba wanguHahaaaa. Nimefurahi sana kulifahamu hilo swahiba.
Usijali swahiba karibu.Tupo pamoja swahiba wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] wamebanwa na mbaoHahaaaa. Yaani kaka leo burdaani kabisa. Kimyaaaa