Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Endelea kuamini hivyo maana ni haki yako ya kikatiba.Simba bado ni timu bora kuliko zote tz. Kelele zote hz ni kutokana na ubora wa timu ya simba. Ni wazi hata yanga mlishangilia droo na simba iweje mbao wasishangilie.
Bado naamini simba ndiyo bingwa.
Jiulize wewe uliesema simba bingwa.Kwa hiyo Jana ndo iliisha ligi.
Ahahahahahahahaha hatari snLile goli la mbao unaweza kwenda kuombea mkopo bank mbonge wa goli!!