Simba Sc ndiyo kinara wa points katika makundi yote CAF Champions

Waliokuwa wakibeza kuhusu "Visit Tanzania" sasa wanajionea Tanzania inavyopaishwa kimataifa na mnyama mkali kutoka msimbazi maana Uarabuni kote na Africa nzima leo wanamdiscuss aliyempiga club bora namba tatu duniani...Viva Barbara,F**k Senzo.
 
Vigogo wa Africa wengi apo kwenye msimamo mpaka sasa naona wanasuasua?
Al Ahly.
Mazembe.
Waedad.
Mamelody.
Zamaleck.
 
Hata mechi 2 za mwanzo vpl, epl walioongoza sasa hivi wako mikiani mwa ligi zao.

Muda ni hakimu mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…