OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama hujui basi jua. Timu kigogo Africa Simba ndio kinara wao.
Habari za Simba Sc zimezagaa dunia nzima. Kwa hiyo sina haja ya kueleza saaaaana.
Kifupi ni kwamba kuna Wababe halafu kuna Mbabe