GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama umekasirika na Unabisha haraka sana hapo ulipo nitafutie Klabu nyingine ukiiondoa ya Simba SC yenye Cheo cha Meneja Mawasiliano na Habari.
Kuna Klabu moja ( ya Ligi Kuu ) siikumbuki Jina ila ninachokumbuka na kujua tu ni kwamba ina Maafisa Habari na Wapayukaji tena Wawili ambapo wakiwa mbele ya Mashabiki na Wanachama wao au mbele ya Waandishi wa Habari wanajifanya wanapendana.
Lakini ndani kwa ndani wao kwa wao ni Maadui, Wanarogana, hawapendani na Kutwa huwa wanaombeana mabaya ili Mmoja abaki na afaidi vyote vya Janja Janja Company Makao Makuu ghorofa refu kiasi na zuri Posta.