Simba Sc Next Level wazindua uzi matata kabisa

Simba Sc Next Level wazindua uzi matata kabisa

Ww n mjinga kama Hao wenzio

Unategemea Tim ya nyumban ipangiwe
Jez za kuvaa na mgeni???

Wewe ni mjanja sasa? Wewe ni kilaza tena parata au koro kabisa!
Rudi kasome nilichoandika umuonyeshe hata jirani yako akueleweshe, maana kimekuzidi uwezo! Ndio maana mkaitwa ma[emoji205][emoji205]
 
Wabunifu ni SIFURI KABISA

Ndiyo ujue hizi klabu zetu watu hawatumii akili, hivi wakienda kucheza na timu inayotumia jezi nyekundu hao Simba watavaa jezi ipi?
Hao wana mechi mbili za kimataifa, kwa hii Plateau ya Nigeria hawakatizi, watarudi kupambana na Namungo FC

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hebu pata picha ya sura ya Morrison anapokuwa ana kata gogo chooni anavyokuwa kwa dakika moja na nusu........haya, tuendelee na mjadala
 
Back
Top Bottom