Bithurasdinhournhim
Senior Member
- Mar 14, 2017
- 166
- 396
Ww n mjinga kama Hao wenzio
Unategemea Tim ya nyumban ipangiwe
Jez za kuvaa na mgeni???
Hao wana mechi mbili za kimataifa, kwa hii Plateau ya Nigeria hawakatizi, watarudi kupambana na Namungo FCWabunifu ni SIFURI KABISA
Ndiyo ujue hizi klabu zetu watu hawatumii akili, hivi wakienda kucheza na timu inayotumia jezi nyekundu hao Simba watavaa jezi ipi?
Amka kushakuchaWatanzania wote bila kujali ukabila,uchama au kitimu tuungane tuisaport Simba sc ,naiona Simba sc inaenda kufika mbali sana
Labda atakuwa Barbara GonzalezHivi Simba ni nani huwa ana design hizi jezi?
Mbona hazina mvuto?
Mimi ni mwana Simba ila kwa huyu designer mnayemtumia amefeli sana!