NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
NALIA NGWENA the big fan of Simba sc (shabiki Lia Lia).
Nimeona itakuwa siyo desturi/ utamaduni mzuri Kama sijaimwagia/ kuipa maua yake Simba sc.
Hakika inastahili kupewa maua yake tusisubiri mpaka wayada Casablanca aharibu hali ya hewa.
Hizi ndiyo sababu kuntu/maridhawa NALIA NGWENA mpaka namwaga maua hadharani.
Mosi, uongozi Bora wenyekutimiza malengo, kuanzia benchi la ufundi mpaka mwenyekiti mangungu hakika wanastahili pongezi maana ahadi zao zimetimia kwa asili Mia bila mbamba.
Mangungu alisema kipao mbele Chao ni kumfunga mtani na kweli yametimia.
Pili,Technic za ufundi zinazotumika katika kupata ushindi Kama vile kuchoma uwanja, kuingiza gari kinyume nyume
Hakika hapa nawapa kongolee nakumwaga maua mengi kwao.
Tatu na mwisho Simba imetimiza ndoto zake/kipaombele chake Cha timu kuvuka makundi Hadi kuishia robo.
Hapa namwaga maua Kama yote bila ya kua na wasiwasi yoyote.
NALIA NGWENA the Simba mnyama nguvu moja.